J Jimm20 New Member Joined Aug 2, 2022 Posts 4 Reaction score 2 Jul 7, 2026 #1 NACTE na HESLB, mbona hampokei simu wala kujibu barua pepe? Kama huduma hizo hazitumiki, ni bora mziondoe kuliko kuwaacha wananchi wakipoteza muda wakijaribu kuwasiliana nanyi bila mafanikio.
NACTE na HESLB, mbona hampokei simu wala kujibu barua pepe? Kama huduma hizo hazitumiki, ni bora mziondoe kuliko kuwaacha wananchi wakipoteza muda wakijaribu kuwasiliana nanyi bila mafanikio.