malagira roman
Member
- Sep 22, 2014
- 58
- 3
kwenye profile yangu nilikuwa nimeandikiwa "Be calm while processing your application.Incase any will notify via your email". Ss imetolewa na kubak waz
kwenye profile yangu nilikuwa nimeandikiwa "Be calm while processing your application.Incase any will notify via your email". Ss imetolewa na kubak waz
Kinachonipa wasiwasi kuna baadhi yetu wachache wamepata vyuo hii inakaaje?
Watakapotoa hayo majina kwa waliochaguliwa kwenda chuo pia wanatakiwa kutoa taarifa kwa wengine ambao wamekosa ili na wao wajijue wapo upande gani.... Ili mwenye kusuka na kunyoa ajijue ili maisha yaendelee! Ni hayo tu