NACTE T.I.A selection zimetoka? Msaada tafadhali

Mh,title utata mtupu.... ungeandika T.I.A ingeleta unafuu aisee!!!!!!!
 
Habari!
Naomba kwa anayeelewa anijuze ndugu zangu kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa na NACTE T.I.A yametoka! Msaada..

Bado Dada angu, jaribu kuwa unatembelea Jf kwa taarifa zaidi.
 
dah ucjarindugu watatoa mimi mwenyewe nimechaguliwa hapo nimeangalia kwnye cmu na kupitia jamii forums tunawasiliana kama watu watatu hi mmoja kaomba kupitia nacte tutaftane 0788161180 ili tupeane taarifa.. tuko pamoja
 
Mhh..kijana unanitisha..kama ni mm ungenipa namba..haya wa TIA mtajuana wenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…