NACTE toeni majibu ya mitihani ya semester II/2020

NACTE toeni majibu ya mitihani ya semester II/2020

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Vijana hawajui fate yao na vyuo vinafuguliwa 16/11/2020. Huwezi kufanya lolote bila matokeo ya mitihani, tatizo liko wapi? CEO wa NACTE unafeli wapi?
 
Ni kweli. Dogo yupo tu nyumbani hatujui tufanye lipi!

Hawajui maisha ya bongo ni kuganga njaa
 
Back
Top Bottom