NACTE toeni Transcript za Clinical officer waliomaliza Desember 2022

NACTE toeni Transcript za Clinical officer waliomaliza Desember 2022

Joined
Jan 1, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Clinical officer waliomaliza Desember 2022 tumekuwa tukiomba transcript zetu tangu tarehe 10 January 2023 ila Cha ajabu mpk Leo . Transcript request status inasema RECEIVED

NACTE fanyieni Kazi maombi yetu tunahitaji hizo transcript kunafursa tunatak kuzikimbilia ambazo zinahitaji kuambatanisha hizo Transcript...
Ahsante.
 
Nilimaliza Chuo Mwaka 2020 Kada ya Afya. Mwaka 2022 Aprili Nikaomba maombi ya Transcript na Niliomba Niippokelee Mwanza ambapo ni Jirani. Cha ajabu nikaambiwa kuwa Nitaikuta Mwanza. Nimeenda Ofisi ya Mwanza Wakaniambia kuwa haipo. Nikaenda Dodoma wakaniambia haipo. Nikaenda Ofisi za Dar Wakaniambia haipo ipo Mwanza. Nimerudi Mwanza Wakaniambia Haipo.

Hii ni zaidi ya Mwaka mzima nasubiri Watu wa Ofisi ya Mwanza wanipigie simu sijapata Msaada.

Je Kwanini NACTE wanaweka urasimu wa mtu kumpatia Cheti Cha transcripts. Kwanini Kama Cheti unapata Chuoni Kwanini vyeti visitumwe Chuoni.
Mpaka Sasa Sina msaada wowote na gharama za kutoka Mkoa kwenda Mkoa kufuatilia Transcripts imekuwa changamoto. Kama Kuna mtu ana msaada wa mawasiliano ya Moja Kwa moja anisaidie Ndugu zangu
 
Back
Top Bottom