nadhani sisi tutatolewa matokeo yetu hasa kwenye second batch , maana pamoja tuliwahi ku apply inaonekana nacte walichelewa ku run system yao ya uchaguzi kusubiri vyuo ambavyo vilikua vikimalizia diploma ndani ya mwaka huu, vingi vilichelewa kupeleka matokeo nacte kama IFM ni juzi tu ndo wameruhusiwa ku apply, ngoja tuone itakuwaje baada ya final deadline ya tarehe 6.