Niaje wadau,nacte wameachia selection awamu ya kwanza.lkn kwa baadhi ya profiles za waombaji zimeandikwa"selection still in progress pls b patient..na ktk current status pameandikwa "PS"ina maana gani??nisaidieni wakuu.
Na salaam za kihuni ngoja ujibiwe kihuni. PS inamaanisha "Person Secretary"
PS stands for programme selection. Ina maanisha
unatakiwa kuchagua tena programu maana zile
ulizochagua awali zimejaa. Hata hivyo nashauri
mlioandikiwa PS msubiri kidogo maana wahusika
wanajadili kongeza nafasi kwani idadi ya waombaji
ni kubwa kuliko mategemeo ya awali. Kwa hiyo
"be patient" tupo kukusaidia.
NACTE
Na salaam za kihuni ngoja ujibiwe kihuni. PS inamaanisha "Person Secretary"