NACTE ukimya huu unamaanisha nini?

JB MUNA

Senior Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
147
Reaction score
17
Wana JF natumaini nyote hamjambo!

Naomba kueleweshwa kuhusu na wale walioomba special program ya Ualimu mbona majina hayatoka mpaka leo kuna nini NACTE au ndo uchakachuaji wa majina?

Ni muda umepita sasa...hivi majuzi NACTE walitoa tangazo kuwa ifikapo tar.06.09.2014 watatoa majina mpaka sasa hivi hakuna cha majina wala nini?

Heshima kwenu wakuu...
 
Sisi wenyewe tunasubiri selection za chuo kalin had leo kimya hamna chochote na kuna vyuo vinafunguliwa mwez huuu na leo trhe 9 sasa sijui watu wanajiandaa sa ngap
 
Sisi wenyewe tunasubiri selection za chuo kalin had leo kimya hamna chochote na kuna vyuo vinafunguliwa mwez huuu na leo trhe 9 sasa sijui watu wanajiandaa sa ngap

bora selectn za chuo...kitu kukosa mkopo na unapewa majibu bdo wiki moja kujoin chuo.
 
Kwa kweli hapa Tanzania kila kitu kinaenda kiusaniisanii tu....mi nilitegemea kwa kuwa wameanzisha mpango wa CAS yaani Central Admission System basi selection ingefanyika systematically.... lakini wapi??Wakati wanasema kuwa watakaochaguliwa wataanza rasmi masomo tar.06.10.2014...
 
majib yakitoka tu..nistueni..maana mie nishachoka kusubiria..
 
Hakika NACTE wanatutesa loo mpaka saivi hamna updates yoyote??Ngoja tuzoee tu..no way out..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…