NACTE,VETA...na wengineo

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Hizi bodi zinazosajili vyuo
kama NACTE NA VETA
taratibu zikoje kwa anaejua?\

gharama za usajili wa NACTE na VETA zikoje?
masharti?
ofisi zao zipo wapi?
 
Ofisi za NACTE zipo njia ya kwenda itv kwa kutokea mwenge...wamepakana na chuo cha kodi
 
Ofisi za NACTE zipo njia ya kwenda itv kwa kutokea mwenge...wamepakana na chuo cha kodi

Kwa hiyo unaacha Bagamoyo unaenda kama unaenda ITV ..?
 
we ukifika mwenge shika barabara iendayo makumbusho ukifika bamarga ulizia, au ukifika keby's Hotel ulizia hizo ofice.
 
Kwa hiyo unaacha Bagamoyo unaenda kama unaenda ITV ..?

Yn kituo cha itv ni kituo kimoja kabla ya mwenge stand....km unatokea town...hapo kituo cha itv kuna barabara inanyosha upande wa kulia kuna milori kimpango...si vyema kwenda kwa mguu ni mbali kidgo...
 
ofisi zao ziko chuo cha kodi,ukifika chuo cha kodi pale mwenge geti linalofuata ni la nacte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…