nijuavyo ungecheki na chuo chako kama kinatambulikana na NACTE. pili hakikisha Diploma yako ina ufaulu wa Lower Second na kwenda juu, credit, gpa above 3.5 ndipo uwasake hawa NACTE kwa udi na uvumba. nadhani ni hivyo - wanajamvi watakuwa na uelewa pia