NACTE wababaishaji

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Utendaji wa nacte na mfumo wa utoaji elimu nchini ni wa kizamani sana. The London School of Journalism-LSJ inatoa degree na diploma zinazotambuliwa kote duniani iwe kwa distance learning au mifumo mingine. Inashangaza kuona nacte wanasusua ku-accredit cheti changu cha diploma ingawa wamekiri LSJ ni moja ya vyuo vya nje vinavyotambuliwa na Serikali! Tafakari
 

poleIla inaumaaa, na deadline c leo? sasa itakuaje hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…