NACTE, wafanya yao

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
nikatika tovuti ya nacte maombi ya ualimu..kwa ngazi ya diploma,advance diploma na degree yamefunguliwa rasmi kupitia mfumo wa CAS mnakarbishwa kuanza kutuma maombi yenu:

chanzo cha habari:tovuti ya nacte
 
nakwawale watakao tuma maombi yao mapema kabla ya tarehe 10april, wanatarjiwa kuanza semester yao mapena 15 April..we we mzaz/mlez mfanyie mchakato mtoto au nduguyo harak sana ili aingie masomoni...epuka utapeli wa kuhonga kizamani kwani sasa nacte ndio jibu lako kuliko hata ilivokuwa inasimamiwa na wizara ya elimu
 
watu wa health i.e clinical oficer bado?
 

Mkuu hii ni kwaozi zipi na vyuo gani mkuu ambavyo semester zao zinaanza mapema?
 
St Joseph campas ipi bwana thedaydreamr?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…