NACTE: Wameanza kutoa sasa, status yangu inasoma SELECTED but NOT YET CONFIRMED

ejoki

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
43
Reaction score
1
NACTE: Wameanza kutoa sasa, status yangu inasoma SELECTED but NOT YET CONFIRMED
Pia kuna maelezo haya: Confirmation in progress with named Institution.
Please be patient during this process, the status will change when we get official confirmation
 
Inamaanisha bado hawajapata offical confirmation kutoka chuo husika.

Ni kweli pia kuna maelezo haya: Confirmation in progress with named Institution.
Please be patient during this process, the status will change when we get official confirmation
 
dah! majanga yani selected ila hujui chuo gani na vyuo wanafungua next week? Nacte inadai kuna ku apply 2nd round kwa watakao kosa wakati kuna vyuo wanafungua tar 10!!

kuhusu 2nd batch naamini itakuwepo kwa baadhi ya vyuo mf udom nk ila kuna vyuo vingine hilo haliwezekani mfano hakuna uwezekano wa Ud kutoa 2nd Batch kwa BAED mana waliokwenda Hawa form six ni 1169 +1 wa equivalent jumla 1170

tcu guide book inaonesha uwezo wa chuo BAED ni watu 1170 kwa mahesabu rahisi ni kwamba hapo wameshamaliza.

Cha ajabu Nacte Inasema hadi j3 wa equivalent utaona profile inasema kuwa selected or not, wanasema majina yameshakwenda chuo kuhakikiwa ila bado selection kwa equivalent hazijatoka je hawa equivalent waliopata vyuo tangu last week wakiwa sambamba na form 6 je vyuo wamewapataje? Vyuo Vimewapataje hawa watu na kupitia vigezo vyao hatimae kuwachagua?!

NACTE NI MIZIGO. Period
 
kuhusu kuchukua yaaa kwan mi nikiangalia tayal kunvyuo vinasoma capacity ni 0000000000000
xo maana yake visha jaaaaa duuuu muce,duce na ud xo nimebak na viwil 1st choic na 4th
 

probem ni kwamba diploma holders wengi hamjitambu. Ud was not ment for you guy kwenda pale ni feva tu kwa sababu ya mfumo wa elimu ni tofauti na qualification yako. Mzumbe, na vinginevyo vinavyo fanana navyo ndio vyuo vilivyo wekwa maalumu kwa kada yenu form six kule ni feva pia. on ATC haingii form 6 kabisaa kwa sababu sio pake pale jaama. Mnanibore diploma mnaofanya
 
xooo wanasoma watu gan hapo ututoe ushamba maana ushamba ndo utakua unatufanya tuonekane hatujitambui labda
 
Vyuo vikuu mitaala yake ni kwa ajili ya wanao toka A level kwa lugha ya kitaalamu inaitwa KBET yaani Knowledge Based Education Training na holder wa diploma isiochakachuliwa ni CBET Compitance Bases Education and Training. So kwa diploma kwenda huko ni ku violet mfumo wa elimu na unaenda vuruga hiyo elimu ya kazi. so unatakiwa kusoma CBET Ambayo inapatikana kwenye
vyuo vilivyo chini ya baraza NACTE.
 

tcu guide book Ud vyuo vyote kuna entry requirements kwa diploma na equivalents. sasa kudai hawatakiwi kujaza vyuo UD hapo ni kamba mkuu. laa kama tumekosea kuomba makosa ni ya vyuo husika pamoja wenye dhamana ya kusimamia mfumo mzima wa elimu tcu/nacte/wizara nk.
 
hamja kosea ila nafasi ni finyu huko kwa diploma anayetaka kuchange kada. Kwa diploma nafasi nyingi zipo kwenye vyuo kama mkwawa duce mzumbe na vinginevyo vinavyotoa mafunzo ya kada hizo na vyuo vyote vilivyo chini ya nacte walengwa ni diploma.
 
Selected na chuo kipo mkuu sio kwamba hakipo yani kati ya vile vyuo ulivyochagua kimoja ndo wamekuachia then selection status wamekuandikia selected halafu comfirmation status wameandika not yet then kwa chin ndo wameandika be patient
 
Selected na chuo kipo mkuu sio kwamba hakipo yani kati ya vile vyuo ulivyochagua kimoja ndo wamekuachia then selection status wamekuandikia selected halafu comfirmation status wameandika not yet then kwa chin ndo wameandika be patient

Nimekupata vizuri sana Twissa
 
Last edited by a moderator:
chio wote ni ntu na ntu
chi tunachubiri mpaka baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…