NACTE wametu ibia hela zetu..

NACTE wametu ibia hela zetu..

RogersOne

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
12
Reaction score
2
Jamani Wana JF hivi kwanini NACTE wamegeuza Mtaji wa kukusanya 20,000 za Technical Evaluation alafu wanasema hawakua na huduma hiyo na mwisho wa kufanya application ni tarehe 30 mwezi huu... sasa sielewi kwa nini wakubali kupokea hela za sisi maskini alafu waje watoe majibu hayo leo hii

jamani kweli nimeamini hakuna sector yenye hujuma kama Elimu Tanzania

Kweli masikini atabaki kua masikini na Tajari atabaki kua tajiri navyosikia siku hizi hawapokei funu tena wizarani kwa hiyo hata kufanya kazi zao kama ukaguzi wa vyuo na kupitisha mitaala inadibi wacharge hela toka kwa muhusika
 
Back
Top Bottom