NACTE wanafanyaje hapa?

NACTE wanafanyaje hapa?

p2k

Senior Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
108
Reaction score
261
Hope mko wazima wa afya.

Naomba kuuliza kwa wanaofahamu jinsi hawa NACTE wanapata GPA ya mwisho inayoweza kumpeleka mwanafunzi elimu ya juu (degree).

Je wanachukua ile GPA ya semester ya pili ya mtihani wao? Au wanajumlisha GPA ya semester ya kwanza na ya pili?

Please msaada wa dhati kabisa unahitajika.
 
Kila mwaka wa masomo unakuwa na average GPA. Kwa hyo zinachukuliwa average gpa zako za miaka mitatu ndio final.
Yaan (3.5+3.6+4.0)÷3
 
Kila mwaka wa masomo unakuwa na average GPA. Kwa hyo zinachukuliwa average gpa zako za miaka mitatu ndio final.
Yaan (3.5+3.6+4.0)÷3
Uongo mtupu. Hapa zinachukuliwa avarage kwa mwaka wa mwisho tu.

Vyuo vingi maximum GPA kwa mwaka wa mwisho ni kubwa kuliko ya miaka ya nyuma.

Kwa mfano mwanafunzi anayeanza mwaka wa kwanza na wapili chuo cha ufundi, kiwango cha juu cha ufaulu ni GPA 4.0.
Tofauti na mwaka wa mwisho ambapo ni GPA 5.0

Kwa hio wanachukua wastani wa semister mbili za mwaka wa mwisho.
 
Back
Top Bottom