NACTE wanasajili vyuo vinavyo-offer degree au tumeibiwa?

NACTE wanasajili vyuo vinavyo-offer degree au tumeibiwa?

D 2de A

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
183
Reaction score
32
Ndugu zanguni Chonde chonde nisaidieni katika hili...

Naomba kujua kama NACTE wanaweza kusajili chuo kikuu kinachotoa degree, kwani katika kuperuzi website yao nimeona chuo kikuu cha ST. JOSEPH UNIVERSITY CAMPUS ambacho kwa taarifa zauhakika kinatoa degree 3yrs and 5yrs programe ila nimekiona kipo chini ya NACTE.

Ninapata mashaka km wanaosoma shahada hiyo ya kwanza ya ualimu(Bsc.Ed) hapo st. joseph km mwisho wasikuwatakuwa awarded degree kwakutambuliwa na TCU(kuhakiki uhalali wa degree na vyeti) na TAMISEMI(ajira)

Note: St. Joseph university Campus ya Arusha hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vilivyosajiliwa na TCU.

MSAADA WENU WAKUU.
 
Umeshaumia mbona! Nacte wanadili na vyuo vya certfcate na diploma tu! Degrees ni Tcu
 
Chuo cha Mipango kipo chini ya NACTE; lakini kinatoa digrii mbalimbali.
Wasiliana na TCU kwa majibu sahihi,upate amani.
 
usibabaike ndugu vyuo vya nacte vinaruhusiwa kutoa hadi masters co degree tu iwapo kama vimekidhi vigezo, mfano mzuri ni IFM, MIPANGO dodoma usiwe na hofu kuwa na amani ya moyo ndugu
 
Kwani Cheti kitaandikwa St. Joseph University Campus? Chuo ni St. Joseph University in Tanzania na Chuo hakiwezi kutumia neno University bila ridhaa ya Ikulu....
 
sjuit.pngsjuit.pngsjuit.png
 
usibabaike ndugu vyuo vya nacte vinaruhusiwa kutoa hadi masters co degree tu iwapo kama vimekidhi vigezo, mfano mzuri ni IFM, MIPANGO dodoma usiwe na hofu kuwa na amani ya moyo ndugu

Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU.

Tulipojaribu kufuatilia utawala wa chuo na TCU walikuwa na jibu moja kuwa chuo kipo nakimesajiliwa na kipo "somewhere"

Tulipozidi kufuatilia tukagundua kimesajiliwa na NACTE

so tunajiuliza why watudanganye km kipo kihalali?
 
soma maneno chini mwisho chuo kimesajiliwa kutoa primary education!!!
 
Attachments

  • 1417138401044.jpg
    1417138401044.jpg
    53.4 KB · Views: 199
  • 1417138447553.jpg
    1417138447553.jpg
    42.9 KB · Views: 153
Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU. Sasa kama chuo hakijasajiliwa na TCU, ilikuwaje tena TCU haohao wakawapangia hicho chuo?
 
usibabaike ndugu vyuo vya nacte vinaruhusiwa kutoa hadi masters co degree tu iwapo kama vimekidhi vigezo, mfano mzuri ni IFM, MIPANGO dodoma usiwe na hofu kuwa na amani ya moyo ndugu

Msikariri mambo, ni kweli vinatoa degree hivyo but sio kienyeji tu, ni baada ya kuwa accredited na TCU. Suala ni je hicho chuo chao tayari kimekidhi vigezo na kuruhusiwa kutoa bachelor? Hawa wahindi sio trustworthy kabisa, hawafai.
 
Bro TCU na NACTE ni vitu viwili tofauti na kila Organization hapo inafanya kazi kwa sheria na taratibu zake, NACTE wana husika kusajili na kudeal na vyuo vya ngazi ya kati japo kwa sasa wameshinda na kupewa ruksa ya vyuo vyao kutoa kozi za degree na masters, TCU wao nao wana vyuo vyao na taratibu zao, sasa kama chuo chao kama hakipo TCU na Hakipo NACTE hilo ni tatizo la uongozi wa chuo chao kushindwa kukidhi vigezo vya kuto huduma hiyo, na kama ni TCU ndo walio wapangia huko lazima kutakuwa kuna Makubaliano kati ya TCU na NACTE wa kupeana wanafunzi wakati wa udahili
 
Bro TCU na NACTE ni vitu viwili tofauti na kila Organization hapo inafanya kazi kwa sheria na taratibu zake, NACTE wana husika kusajili na kudeal na vyuo vya ngazi ya kati japo kwa sasa wameshinda na kupewa ruksa ya vyuo vyao kutoa kozi za degree na masters, TCU wao nao wana vyuo vyao na taratibu zao, sasa kama chuo chao kama hakipo TCU na Hakipo NACTE hilo ni tatizo la uongozi wa chuo chao kushindwa kukidhi vigezo vya kuto huduma hiyo, na kama ni TCU ndo walio wapangia huko la

Sasa kwani mimi nimesema nini kinachokinzana na maelezo yako haya, na wapi nilipoonesha kwamba sijui tofauti ya NACTE na TCU?
 
Mkuu iko hiv sisi ni form six lever maombi yetu ya chuo tuliyatuma TCU, na kamkopo tukapewa ila cha ajabu baadae list ya vyuo vikuu vilivyosajiliwa nakutambulika naTCU ilipotoka mwezi July chuo chetu hakikuonekana, tulipowauliza TCU walituambia hivi "Chuo chenu kimesajiliwa ila kipo somewhere" tulipohoji somewhere ni wapi hatukupewa majibu zaidi yakutulaumu sie ni wasumbufu...

kama ilivyokuwa ada kwa wanafunzi mitandao ndio kabati letu....tulikitafuta japo mawazo kwamba kipo NACTE hayakuwa rahisi kwani tulijua wale hawashughuliki na degree...

Kwa bahati nzuri katika kuperuzi huko NACTE ndipo tukagongana nacho uso kwa uso....tena inadiwa programu walichokidahili ni primary education NTL level 6

Our doubt is...Je ni kweli NACTE sasa wanasimamia vyuo vya degree tena ualimu?

Pili: Kwanini tuombe chuo kupitia TCU afu chuo kipo NACTE?

Tatu:Kwanini uongozi wa chuo, Nacte na TCU wote hawakutaka sie tujue kama chuo kipo chini ya NACTE??

Nne: Kama utaratibu umekiukwa nani awajibike ili sie wanafunzi tunusurike yasitokee ya IMTU??

Mwisho: Nyie kama wasomi na mliotutangulia tufanye au tuchukue hatua gani ili kubaini siri iliyofichwa na chuo, nacte na Tcu?

Naomba kuwasilisha wakuu.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU. Sasa kama chuo hakijasajiliwa na TCU, ilikuwaje tena TCU haohao wakawapangia hicho chuo?

Hayo ndio maswali unatakiwa kutusaidia kujibu
 
Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU.

Tulipojaribu kufuatilia utawala wa chuo na TCU walikuwa na jibu moja kuwa chuo kipo nakimesajiliwa na kipo "somewhere"

Tulipozidi kufuatilia tukagundua kimesajiliwa na NACTE

so tunajiuliza why watudanganye km kipo kihalali?

Umesema umeomba kupitia CAS ya TCU so automatically TCU wanakitambua,Dogo piga Shule achana na siasa!
 
Umesema umeomba kupitia CAS ya TCU so automatically TCU wanakitambua,Dogo piga Shule achana na siasa!

Anko inaonekana huelewi kama mimi tuu, mtu anakuambia aliomba chuo kupitia CAS ya TCU na majina yakatolewa na TCU but Chuo kimesajiliwa na NACTE so mi nakushangaa unashindwa kunipa mchanganuo huku unadai mm napiga siasa!

We are a educators or scholars so we have to research detailed and make healthily argument in any raised conflict.
 
iwe chuo chako kpo chn ya tcu au nacte kwa degree wote mnaombea kupitia tcu,.na vpo vyuo vng sana chn ya nacte vnatoa degre,.mfano
CBE,IFM,TIA,IAA
na vngnevyo nahc mtakua mmekarr 2 Mana hcho chuo tangu kimeanzishwa kilikua chn ya nacte n watu wamemalza degree zao wapo ofcn hawana tatzo lolote
 
Back
Top Bottom