Ndugu wadau wa elimu kiukweli nacte wamewachanganya walimu walioomba kujiunga na ordinary diploma. Walioapply waliambiwa watajiunga na masomo mwez wa nane na barua zao za kuingia kwenye mpango ktk halmashaur zao zinawaruhusu kuanzia huo. Cha kushangaza wameambiwa wajiunge na masomo yao mwz huu trh 28 na halmshaur zao zimewakatalia kwa kuzngtia barua zao za mpango wa masomo. Je mwenye makosa nan?