NACTE yavifutia usajili Vyuo vya Ufundi 10 kutokana na kutokidhi vigezo

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo.

Mkurugenzi wa Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini, Dkt. Geofrey Oleke amesema Baraza limevitaarifu vyuo husika kwa barua juu ya uamuzi huo na kuvitaka kuwahamisha wanafunzi wote kwenda katika vingine vilivyosajiliwa.

Orodha ya vyuo vilivyofutiwa usajili ni pamoja na ERA Training College - Bukoba (REG/TLF/095), Azania College of Management - Dar es Salaam (REG/BMG/021), Time School of Journalism - Dar es Salaam (REG/PWF/013), Clever College - Dar es Salaam (REG/BTP/205P)

Vyuo vingine ni Aces College of Economic Science - Mwanakwerekwe, Zanzibar (REG/BPT/081P), Zanzibar Institute of Management Reseach and Technology - Zanzibar, Gender Training Institute - Dar es Salaam.

Aidha, kuna vyuo vilivyoomba kusitisha masomo kwa sababu mbalimbali vikiw College of Business and Management - Dar es Salaam, University of Computing Center - Mwanza.
 
Shukran sana kwa taarifa hizo maana kwa sisi tulio na mpango wa kwenda chuo tunaweza epuka ilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuo vingi hata baadhi ya sekondari binafsi vinaoperate kwa hasara. Uchumi umeshuka kwa watu binafsi kuafford gharama na wanaoafford wanalipa kwa kuungaunga.
Nacte ijikite pia katika kushauri namna ya kuongeza mapato( mfano kutengeneza na kuuza hisa), kuboresha matumizi nk. Unapofunga vyuo vingi kwa pamoja ujue kwa namna fulani umefail kisera!hasa hivi vyuo vya kati vya ufundi.
 
umewaza kiuweledi ndugu
 
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo.

Mkurugenzi wa Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini, Dkt. Geofrey Oleke amesema Baraza limevitaarifu vyuo husika kwa barua juu ya uamuzi huo na kuvitaka kuwahamisha wanafunzi wote kwenda katika vingine vilivyosajiliwa.

Orodha ya vyuo vilivyofutiwa usajili ni pamoja na ERA Training College - Bukoba (REG/TLF/095), Azania College of Management - Dar es Salaam (REG/BMG/021), Time School of Journalism - Dar es Salaam (REG/PWF/013), Clever College - Dar es Salaam (REG/BTP/205P)

Vyuo vingine ni Aces College of Economic Science - Mwanakwerekwe, Zanzibar (REG/BPT/081P), Zanzibar Institute of Management Reseach and Technology - Zanzibar, Gender Training Institute - Dar es Salaam.

Aidha, kuna vyuo vilivyoomba kusitisha masomo kwa sababu mbalimbali vikiw College of Business and Management - Dar es Salaam, University of Computing Center - Mwanza.
University of Computing Centre ndo ipi?
 
Back
Top Bottom