I imanmull Member Joined Sep 12, 2014 Posts 30 Reaction score 3 Sep 14, 2014 #1 Jaman siwez kufungua accnt yangu kwahiyo hata sielew alafu wanavyo nambia matokeo ya nacte trh 22 nachanganyikiwa kabisa .. kwasababu chuo ninachotaman wanipeleke wanafungua trh 13 october kitu kama iv ushaul jaman plz
Jaman siwez kufungua accnt yangu kwahiyo hata sielew alafu wanavyo nambia matokeo ya nacte trh 22 nachanganyikiwa kabisa .. kwasababu chuo ninachotaman wanipeleke wanafungua trh 13 october kitu kama iv ushaul jaman plz
T Twissa Member Joined Jul 2, 2014 Posts 30 Reaction score 6 Sep 14, 2014 #2 22 september mpaka 13 october mbona bado pana muda mkuu au we ulifikiri zinatoka 22 october?