NACTVET chunguzeni wasimamizi wa mitihani ya Wizara ya Afya

NACTVET chunguzeni wasimamizi wa mitihani ya Wizara ya Afya

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Wapo wasimizi wanashiriki kila zoezi la kazi maalum kwa sababu ya connection tu lakini si waadilifu.

Baadhi wamekuwa wakiomba fedha ili wawabebe wanafunzi na wamiliki wa vyuo wasio na maadili huwakubalia.

Najua kwa sasa kuna watu wa ofisi ya Rais wanahusishwa katika zoezi isipokuwa ninyi mna wajibu wa kufanya uchunguzi.

Mnaweza kupata taarifa za awali kwa wakuu wa vyuo na wamiliki kwani wao ndio hutoa pesa wakati mwingine kuogopa kufanyiwa vibaya. Mkifanya hivyo utakuta mtu yule yule anatajwa na mtu zaidi ya mmoja tena kutoka vyuo tofauti basi mjue amefichiwa siri na wengine kadhaa.

Nashauri msiwape kipaumbele kwani wapo wengine wengi wenye sifa na huwa hawapati fursa za kwenda kusimamia. Na tatizo kubwa lipo kwenye kada ya ufamasia
 
Back
Top Bottom