Nadhani Hizi connection (video chafu) za wasanii huwa zinaandaliwa na kutolewa kukamilisha jambo fulani la kisiasa??

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Huwa najiuliza sana uhusiano kati ya hizi connection (video) zinazovuja kuwa huwa zinavujishwa systematic wakati fulani ili kuhamisha attention ya umma!

Mfano saizi ni hii ya giggy money na Amber lulu
lazima kuna jambo linalengwa.

NB: Ingawa najua kuvuja kwa njia ya kawaida kupo vilevile.
 
Bongo watu kila saa wanahisi wanahujumiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu watiane wavujishe video useme ni siasa hahahh
 
Bongo watu kila saa wanahisi wanahujumiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu watiane wavujishe video useme ni siasa hahahh

piga mahesabu muda ambao zinavuja huwa kuna kua na jambo gan la kisiasa
 

Ili tupate ufumbuzi tuanzie na kipindi serikali ikiwa na kashfa kubwa
1.Richmondi
2.
3.
4.
5.

Tupatie kila mahali na video iliyovuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…