Nadhani Huyu Mtu Anatumika....

keshhy

Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
13
Reaction score
1
Ephraim Kibonde, mtangazaji wa Clouds FM kipindi Jahazi.
Hivi, kuna mtu huwa anamuelewa anisaidie na mie kumuelewa!
Mie nadhani huwa anatumiwa na wanasiasa, si bure...
Nimefuatilia sana kipindi chake, huwa hana msimamo wake, leo anasimamia hili kesho anabadili msimamo.
Pengine mie ndo mgumu kuelewa, nisaidiwe tafadhari...!
[Sikiza Clouds sahv..]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…