Nadhani kauli ya Ali Kiba imetufanya Watanzania tukose tuzo MTVMAMA2016

Na diamond naye keshakufa kimuziki tayari hata afanye collabo na nani hatawika tena
 
Utambulisho wa nchi unapatikana kwa kuhamasisha ngono kumbe?
 
kumtetea kibakuli is a criminal offence, na hii ndio inasababisha linakuwa jinga vile halishughulishi akili kisa lina die hard fans
 
mambo ya alikiba yanaingiaje kwenye tunzo?tuseme kwakuwa wiz na davido hawapatani basi wiz hakutakiwa kuchukua tunzo, au kabla ya kupewa tunzo waliulizwa kwanini hampatani eee, na ninani alimzimia mwenzie mic huko kenya eeeeeeeh....acha ushabiki maandazi kiba atabaki kuwa kiba na huyo bakuli atabaki na tarumbeta lake
 
Huyu ni mji kati ya wajinga na ni kichaa kati ya watu wa NNE bongo
 
KOSA KUBWA KABISA, WATU WALIPIGA KURA LAKINI WENGI WALIKUWA WANAKOSEA,
NA UTARATIBU ULIBADILISHWA MWISHONI,
KWA HIYO NJIA NZURI YA KUPIGA KURA NI JUST BY CLICKING vote, HIYO NDIYO ILIKUWA SAHIHI KULIKO ZOTE.
KINGINE MAPAMBANO ALIYOKUWA NAYO DIAMOND YALIKUWA MAKALI SANA, KWA MFANO WIZKID, BLACK COFFEE(KAHAWA NYEUSI), HIZI NAMBA SIYO NZURI KABISA, UKIZINGATIA MZIKI WA MOND UMEANZA KUCHUJA KIASI FULANI, HAPA INABIDI ABADILI BEAT NA STYLE KIDOGO, IWE TOFAUTI.
KWA HIYO MIMI BINAFSI NIMEICHUKULIA HII KAMA CHANGAMOTO KUBWA KUWAHI KUTOKEA KWA MOND NA ANAPASWA AIPOKEE,
KUHUSU KIBA NA COLLAB, MASHINDANO YALIKUWA MAKALI SANA, PEOPLE ARE SERIOUS SI UNAMWONA DJ MAPHORISA??
LAKINI KIBA AMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA KWAKE MWAKA HUU NA ANAPASWA KUONGEZA JUHUDI, NASEMA AMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA NI KWA SABABU
1.AMEPATA DEAL LA SONY-AMEJULIKANA DUNIANI
2.AJE-NI NYIMBO ILIYOMPA KIBA MAFANIKIO MAKUBWA KIMATAIFA
3.KUTAJWA MAPEMA KAMA MAMA2016 PERFORMERS
4.NYIMBO ALIYOSHIRIKISHWA KUINGIA KTK KATEGORY 3
5.KUPATA NOMINATION MTVEMA 2016
HAYA NI MAFANIKIO, NAYAITA MAFANIKIO KWA SABABU AMEKWENDA KUJIFUNZA ZAIDI KITU AMBACHO NAAMINI MOND ALISHAPITA.
SO ALL IN ALL HAKUNA KAULI WALA NINI, KILICHOTUKOSESHA KUPATA TUZO NI MAPAMBANO YALIKUWA MAKALI SANA.
HUWEZI KUFANANISHA DURO NA KWETU, UTAFANANISHA PAPA AHSANTE NA NIROGE AU NO BODY? NYIMBO INAIMBWA MPAKA KWENYE VIKUNDI NA AKINA MAMA,
WIZKID SIYO MTU WA MCHEZO MCHEZO, KAPATA SHOW YA NYINGI NA CHRIS(EUROPE NA MOMBASA), BADO KAPIGA COLLABO NA DRAKE NA NYIMBO IMEFANYA VIZURI BILLBOARD CHARTS.

HAPA KIKUBWA WANAPASWA KUKAZA,
WANAWEKWA KTK CATEGORIES ILI KUHAKIKISHA EVENT INAVUTA AFRIKA NZIMA SIKU HIYO, THIS IS BUSINESS MEN.
 
wash,duro panha vs kwetu natafuta kik..... mmh
 
Tatizo ni fans. Ushabiki Wa jf, fb, wapp, insta lakini kura hawapigi.

Wabongo mmekuwa na mdomo kila msanii wenu anapopata tuzo na kusahau hata Ug, Kenya, Chad etc walimpigia kura. Raundi hii mmeachiwa muwapigie kura wenyewe mmeshindwa. Na hili liwe funzo kwenu, bila nchi zingine, hamuwezi lolote...............Mwambieni na huyo rais wenu pia.
 
Diva Beyonce umeongea ukweli mtupu. Huyu Rayvanny kumpambanisha na Tecno ulikuwa ni uonevu wa hali ya juu. Kwa ngoma alizotoa Tecno hata Diamond haingii. Ukirudi kwa Vanessa kumzidi Yemi Alade ni miujiza. Mwisho huyu Diamond kuchukua tuzo mbele ya Wizkid ni miujiza ya wazi. Wasanii wetu watoe kazi zitakazouza kwenye soko la kimataifa kama Nigerians wanavyofanya. Kwamfano Wizkid na wimbo wake Ojuelegba ambayo hadi kina Drake wameifanyia remix. Sio kutoa wimbo ambao haukai hata miezi miwili sokoni kama huu uitwao Kidogo wa Diamond. Pia management zingine ziwekeze zaidi kwa wasanii wao ili wafike mbali na sio kila tuzo tunaona WCB na hawa rockstar peke yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…