Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
They are making their own history,ni nini Tz tumefanya na wizi wa DP world Hilo ndo sub task letu la kufanyiwa kazi,hao watu hawana migodi lakini wamewekeza kwenye running the world tournament na wanafanya vizuri sisi hakuna la maana la kufanya ni kujaza malori ya kubeba wanamapinduziNimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,
Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .
Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn wengi wao ukiwaangalia machoni inaelekea wametumia kilevi (miraa).
Kuna kijana alikuwa anahojiwa na mwandishi wa habari huku akiwa amebeba begani jiwe linalokadiriwa kuwa na kilo 35. Sasa huyu kama anadai haki, hilo jiwe la kilo 35 begani ni la nn?
Na kwenye maandamano yao wanaonekana hawana focus.
1. Wapo wanaopinga ukatili wa polisi.
2. Wapo wanaolalamikia ukosefu wa ajira.
3. Wapo wanaolalamikia ahadi hewa za rais.
4. Wapo wanataka Ruto awe one term president.
5. Wapo wafata mkumbo na wabeba mawe tu.
Bila kusahau wapora maduka.
Ni hayo tu.
Tanzania vipi? Vijana wanashindia viroba na hawana ishu. Ni vile tu hawatambui hakizao ndio maan hqwajq explode. Vijana wa Kenya are better by far and aware kuliko vijana wa nchi zote EA. Vijana wa kenya can demand the government, nyie mnaweza?Mkuu naomba kukupinga ukweli Gen Z hawana ajira, wana njaa na hawana agenda maalum ni fujo na uhuni tupu huko Kenya na wako out of control, wapo wanaochoma magari ya polisi na raia, wapo wanaopora maduka, wapo wanaochoma alama za barabarani, wapo wanaochoma magorofa yaliyojengwa kupangisha raia maskini, wapo wanaochoma supermarkets, wapo wanaotaka Rais ajiuzulu, wapo wanaosaka majumba ya askari waliosemekana kuua raia ili wayachome, wapo wanaozuia barabara zisitumike kwa kucheza mpira, wapo wanaosaka kwenda ikulu kumtoa Rais madarakani, wapo wahuni wanaopiga askari, wapo wahuni wanaopora magari ya polisi na kuyaendesha mitaani, wapo wanaotaka kufanya fujo majumbani kwa wabunge na bungeni, yaani Kenya hakukaliki na shughuli zimesimama, miraa kweli inafanya kazi vijana wamewehuka mfano hakuna.
Ni vizuri serikali yetu ijifunze Kenya kuhusu shida ya vijana kukosa ajira
Mleta mada hana qkili, usikute ni mtu hana hata maisha ya maana ila ana eNjoy amani inayotamkwa na viongozi wa siasa while in reality hakuna amaniKwa hiyo miraa ndiyo inayolewesha peke yake?
Je, unaweza kumtofautisha Mlevi wa gongo, konyagi, bia, miraa etc?
Tanzania mnazo Koran?Mkuu naomba kukupinga ukweli Gen Z hawana ajira, wana njaa na hawana agenda maalum ni fujo na uhuni tupu huko Kenya na wako out of control, wapo wanaochoma magari ya polisi na raia, wapo wanaopora maduka, wapo wanaochoma alama za barabarani, wapo wanaochoma magorofa yaliyojengwa kupangisha raia maskini, wapo wanaochoma supermarkets, wapo wanaotaka Rais ajiuzulu, wapo wanaosaka majumba ya askari waliosemekana kuua raia ili wayachome, wapo wanaozuia barabara zisitumike kwa kucheza mpira, wapo wanaosaka kwenda ikulu kumtoa Rais madarakani, wapo wahuni wanaopiga askari, wapo wahuni wanaopora magari ya polisi na kuyaendesha mitaani, wapo wanaotaka kufanya fujo majumbani kwa wabunge na bungeni, yaani Kenya hakukaliki na shughuli zimesimama, miraa kweli inafanya kazi vijana wamewehuka mfano hakuna.
Ni vizuri serikali yetu ijifunze Kenya kuhusu shida ya vijana kukosa ajira