FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Za matairi matatu mzee..Kama haufahamu,ujue leo,hizi pikipiki,bajaji huja in parts,ziko kwenye box,,mteja wa jumla huchukua na kwenda kuassemble mwenyewe,
Labda sijui unaongelea bajaji za dizaini ipi
Za matairi matatu mzee..
Naunga mkono hoja akitaka aende pale mbezi kwa car and general traders jamaa wana assemble parts pale.Bajaj hazipakiliwi kwenye container zikiwa zimekamilika. Zinakuja kwenye mabox kama spares tu... zinakuwa assembled hapa hapa Tanzania.. ukitaka kujifunza tembelea wauza bajaj
Aisee.., hii ni habari njema sana...Bajaj hazipakiliwi kwenye container zikiwa zimekamilika. Zinakuja kwenye mabox kama spares tu... zinakuwa assembled hapa hapa Tanzania.. ukitaka kujifunza tembelea wauza bajaj
Aisee.., hii ni habari njema sana...
Nadhani tusikate tamaa, hadi kieleweke, kule Ghana Kantanka motors wanamimina engine wenyewe na kuassemble kila kitu mwanzo mwishoSio bajaj tu mkuu, pikipiki za matairi 2, na hata baiskeli pia wanaassemble hapahapa.
Pia hapa tunaunda bodi za buses, tunaunda chases za ma semi trailer nk.
Ambacho bado ni kuunda engine, gear box na kuassemble gari.
Sent using Redmi Y2
Pongezi zimuendee Magufuli na Serikali ya awamu ya tano. π‘π‘Kama haufahamu,ujue leo,hizi pikipiki,bajaji huja in parts,ziko kwenye box,,mteja wa jumla huchukua na kwenda kuassemble mwenyewe,
Labda sijui unaongelea bajaji za dizaini ipi
HahahahahhπππππPongezi zimuendee Magufuli na Serikali ya awamu ya tano. π‘π‘
Mara kwanza kuona Wana assemble hizi pikipiki Ni 2005 kule ngulyati,simiyuPongezi zimuendee Magufuli na Serikali ya awamu ya tano. π‘π‘
Hii iwe ni executive order, sio ombi wala kubembelezana. Wapewe godown kule chang'ombe, waagize hizo parts toka India na zikifika Dar basi uunganishaji ufanyike kwa lengo la walau kuibia ibia teknlojia ili pengine baadae na sisi tuanze kuzalisha pikipiki za matairi matatu na tuziite Tanzanite.
Pia ajira zitapatikana kidogo angalau...
Tena kwenye ngome ya hiihii jamii ya Jiwe? Pongezi zimuendee tenaπ‘π‘π‘π‘π‘π‘Mara kwanza kuona Wana assemble hizi pikipiki Ni 2005 kule ngulyati,simiyu
HahahaPongezi zimuendee Magufuli na Serikali ya awamu ya tano. π‘π‘
Assembly mbona inafanyika? Pikipiki na Bajaji huletwa vipande vipande ndani ya kasha na kuunganishwa.Hii iwe ni executive order, sio ombi wala kubembelezana. Wapewe godown kule chang'ombe, waagize hizo parts toka India na zikifika Dar basi uunganishaji ufanyike kwa lengo la walau kuibia ibia teknlojia ili pengine baadae na sisi tuanze kuzalisha pikipiki za matairi matatu na tuziite Tanzanite.
Pia ajira zitapatikana kidogo angalau...
Nadhani suala la bidhaa za Tanzania kuwa bei ghali kuliko bidhaa za nje ni tatizo sugu na lipo katika kila sekta, moja ya suluhisho la hili tatizo ni kupatikana kwa umeme wa bei nafuu, na ndio hasa lengo la Rufiji hydro powertungeigilizia technolojia..maana mbongo atengeneze gearbox ya bajaji aiuze 50000 ni ngumu..au cluch plate auze elfu saba...ni ngumu tunatumia nguvu sana kuliko technologia...tungewekeza huko kwanza la sivyo tukiunda bajaji itauzwa 20m
Kuiba teknolojia ya pikipiki mbona rahisi tu .Engine zinauzwa ,tairi zinauzwa ,taa zinauzwa unachotakiwa kufanya ni kununua pikipiki ifumue yote kila kitu tandaza chini tafuta fundi welding akutengenezee lile frame la pikipiki,tanki na nenda kwa wasambaa wakutengenezee kiti Cha pikipiki kile sponji,mtafute fundi umeme wa magari akuunganishie mifumo ya umeme, Kisha Anza kupachika, pachika na hivi ambavyo waweza nunua au agiza nje injini, toka kwa wauza injini za pikipiki,gurudumu,mnyororo,taa,betri nk itest Kama iko viziri Anza kuunda za kwako kasajiri TRA zipate namba pikipiki ulizounda ziite YEHODAYA kwa heshima yangu niliyekupa wazoBajaj hazipakiliwi kwenye container zikiwa zimekamilika. Zinakuja kwenye mabox kama spares tu... zinakuwa assembled hapa hapa Tanzania.. ukitaka kujifunza tembelea wauza bajaj