Nadhani unasema unasema tunapaswa kuokoa fedha kwa kufuta Mwenge. Lakini ukweli ni kwamba, kufuta Mwenge ndiko kutakakogharimu serikali fedha nyingi zaidi! Mwenge mmoja unapokataa mradi mbovu wa maji wa bilioni mbili kule kijijini, unakuwa umeokoa kodi za wananchi ambazo zingepotea. Gharama ya Mwenge ni ndogo kuliko thamani ya miradi inayonyooka kwa uoga wa kukaguliwa na Mwenge. Huwezi kuokoa senti mia moja kwa kupoteza shilingi laki mojaWaungwana nafikiri tumefichwa au mi sijui kuhusu mwenge au huu moto unauzungushwa karibu nchi nzima. Kwani unamaana gani kwa ustawi wa nchi maana inafika hatua watu wanakosa utu kwa binadamu wenzao. Nimeona clip moja inayosambaa wale askari walivyomfanyia mwananchi kile kitendo kisa tu mwenge.
Gharama kubwa inatumika katika kufanikisha hili jambo. Kwani mdau unafahamu nini kuhusu huu moto utujuze
Akili huna.Nadhani unasema unasema tunapaswa kuokoa fedha kwa kufuta Mwenge. Lakini ukweli ni kwamba, kufuta Mwenge ndiko kutakakogharimu serikali fedha nyingi zaidi! Mwenge mmoja unapokataa mradi mbovu wa maji wa bilioni mbili kule kijijini, unakuwa umeokoa kodi za wananchi ambazo zingepotea. Gharama ya Mwenge ni ndogo kuliko thamani ya miradi inayonyooka kwa uoga wa kukaguliwa na Mwenge. Huwezi kuokoa senti mia moja kwa kupoteza shilingi laki moja
Kwahiyo mwenge umeokoa mabilioni ya pesa? Kwani vile vyombo vilivyowekwa kuzuia ubadhirifu wa fedha vinafanya kazi ganiNadhani unasema unasema tunapaswa kuokoa fedha kwa kufuta Mwenge. Lakini ukweli ni kwamba, kufuta Mwenge ndiko kutakakogharimu serikali fedha nyingi zaidi! Mwenge mmoja unapokataa mradi mbovu wa maji wa bilioni mbili kule kijijini, unakuwa umeokoa kodi za wananchi ambazo zingepotea. Gharama ya Mwenge ni ndogo kuliko thamani ya miradi inayonyooka kwa uoga wa kukaguliwa na Mwenge. Huwezi kuokoa senti mia moja kwa kupoteza shilingi laki moja
Nadhani unasema unasema tunapaswa kuokoa fedha kwa kufuta Mwenge. Lakini ukweli ni kwamba, kufuta Mwenge ndiko kutakakogharimu serikali fedha nyingi zaidi! Mwenge mmoja unapokataa mradi mbovu wa maji wa bilioni mbili kule kijijini, unakuwa umeokoa kodi za wananchi ambazo zingepotea. Gharama ya Mwenge ni ndogo kuliko thamani ya miradi inayonyooka kwa uoga wa kukaguliwa na Mwenge. Huwezi kuokoa senti mia moja kwa kupoteza shilingi laki moja
Waungwana nafikiri tumefichwa au mi sijui kuhusu mwenge au huu moto unauzungushwa karibu nchi nzima. Kwani unamaana gani kwa ustawi wa nchi maana inafika hatua watu wanakosa utu kwa binadamu wenzao.
Nimeona clip moja inayosambaa wale askari walivyomfanyia mwananchi kile kitendo kisa tu mwenge.
Gharama kubwa inatumika katika kufanikisha hili jambo. Kwani mdau unafahamu nini kuhusu huu moto utujuze
😂😂Akili huna.
Mwenge unakagua mradi au mtu ndio anakagua?
Hilo dubwasha ni VAR wa mapato 😁😁Kwani hilo lidude ndilo linakagua miradi au watu? Unataka kutuaminisha kuwa bila hilo dude basi hakutakuwa na ukaguzi wa miradi? Basi kama ndio hivyo, tunayo shida kubwa kuliko hilo dubwasha.
Wanajipigia tu hela kiulainii kisa lidubwasha. Matumizi mabaya ya kodi zetu.Hilo dubwasha ni VAR wa mapato 😁😁
MichezoWanajipigia tu hela kiulainii kisa lidubwasha. Matumizi mabaya ya kodi zetu.
Waungwana nafikiri tumefichwa au mi sijui kuhusu mwenge au huu moto unauzungushwa karibu nchi nzima. Kwani unamaana gani kwa ustawi wa nchi maana inafika hatua watu wanakosa utu kwa binadamu wenzao.
Nimeona clip moja inayosambaa wale askari walivyomfanyia mwananchi kile kitendo kisa tu mwenge.
Gharama kubwa inatumika katika kufanikisha hili jambo. Kwani mdau unafahamu nini kuhusu huu moto utujuze
Huyo anaweza kusema viko ndani ya mwenge😄Kwahiyo mwenge umeokoa mabilioni ya pesa? Kwani vile vyombo vilivyowekwa kuzuia ubadhirifu wa fedha vinafanya kazi gani
Hahaha mwenge unasambaza ukimwi ukiona wanavyokunywa na kulalana kwenye mwenge ni hatariHuyo anaweza kusema viko ndani ya mwenge😄
Aisee kweli Bongo kuna kila namnaZa chini chini zinasema kwamba baada ya Tanzania kupata uhuru Nyerere alitaka nchi ifanyiwe zindiko. Wakachukuliwa watalaamu konki watano wakaenda Bagamoyo, ambapo inasemakana ndipo kuna mizimu ya nchi.
Kiongozi wao ndie aliingia uko mapangoni kuongea na mizimu. Alitoka akiwa hoi bin taabani akapelekwa moja kwa moja kwa Nyerere kutoa taarifa ya aliyoambiwa na mizimu. Moja ya mambo aliyomwambia Nyerere ni kwamba mizimu imemwambia nchi inatakiwa ifanyiwe zindiko kila mwaka. Ndio huo mwenge unaotembezwa nchi nzima kila mwaka.
Kaeni na wazee waliokuwepo zamani wawape story.
Nakazia Nakazia nakaziaAkili huna