Nadhani mchungaji Mackenzie alikuwa anachanganya mahubiri na ushirikina

Nadhani mchungaji Mackenzie alikuwa anachanganya mahubiri na ushirikina

Shazili mnali

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
362
Reaction score
569
Kiakili ya kawaida haiwezekani watu zaid ya 100 uwashawishi kwa maneno matupu wafunge mpaka kufa hiyo haiwezekani tena ukizingatia uhai ni kitu cha thamani sana ukikipoteza hauwezi kuupa kwa namna yeyote ile uyu mtu alikua anatumia na ushirikina
 
Kama binadamu wa kawaida naturally unatakiwa uwe sensitive mahali popote utakapopita ku sense kama eneo hilo kuna ushirikina au mtu wa karibu yako ana vitu mwilini mwake vya kishirikina. Hii nguvu ya asili unaweza kuita self defensive mechanism. Viumbe wengine wanayo hii kitu ikiwemo mimea, samaki na wanyama. Sasa kama huna hii kitu ya asili utajikuta uko kwenye hatari na huwezi kujinasua. Unatakiwa uwe na nguvu za asili automatic kuweza kuharibu ushirikina wowote utaojitokeza maeneo uliko. Hao waumini wa mackenzie inawezekana hawakuwa na ulinzi asili kubaini hatari
 
Back
Top Bottom