Kama binadamu wa kawaida naturally unatakiwa uwe sensitive mahali popote utakapopita ku sense kama eneo hilo kuna ushirikina au mtu wa karibu yako ana vitu mwilini mwake vya kishirikina. Hii nguvu ya asili unaweza kuita self defensive mechanism. Viumbe wengine wanayo hii kitu ikiwemo mimea, samaki na wanyama. Sasa kama huna hii kitu ya asili utajikuta uko kwenye hatari na huwezi kujinasua. Unatakiwa uwe na nguvu za asili automatic kuweza kuharibu ushirikina wowote utaojitokeza maeneo uliko. Hao waumini wa mackenzie inawezekana hawakuwa na ulinzi asili kubaini hatari