johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu Mbowe akietukanwa na kudhalilishwq na akina Lema? Kama nyinyi hamjui thamani ya Mbowe hadi kumzushia kila uchafu, wengine watajua thamani ya baba yake Mbowe?Tunamkumbusha tu Mzee Wassira Kiongozi wetu kipenzi hapa CCM kwamba Mzee Aikael Mbowe asingetoa Nauli huenda Zanzibar ingepata Uhuru kabla ya Tanganyika
Ahsanteni
Wewe ndio ulikuwa unaongoza matukano hapa ukumbini ukimtusi Lisu Kwa niaba ya Mbowe 🐼Huyu Mbowe akietukanwa na kudhalilishwq na akina Lema? Kama nyinyi hamjui thamani ya Mbowe hadi kumzushia kila uchafu, wengine watajua thamani ya baba yake Mbowe?
Lissu na lema wao kwa midomo yao wakimtukana na kumdhalilisha Mbowe, achilia mbali chawa wa lissuWewe ndio ulikuwa unaongoza matukano hapa ukumbini ukimtusi Lisu Kwa niaba ya Mbowe 🐼
Utabiri uchwala huuBaada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchapa kazi, hata hivyo ataongoza kwa kipindi kifupi, ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi,”… Sheikh Yahaya"
Wewe ulitumia hadi nguruwe unaofuga kumtusi Lisu 🐼Lissu na lema wao kwa midomo yao wakimtukana na kumdhalilisha Mbowe, achilia mbali chawa wa lissu
Chawa huwa hawana kumbukumbuTunamkumbusha tu Mzee Wassira Kiongozi wetu kipenzi hapa CCM kwamba Mzee Aikael Mbowe asingetoa Nauli huenda Zanzibar ingepata Uhuru kabla ya Tanganyika
Ahsanteni
Acha kutuingiza chaka, wana TANU ndo tulimchangia Nyerere wenu.Tunamkumbusha tu Mzee Wassira Kiongozi wetu kipenzi hapa CCM kwamba Mzee Aikael Mbowe asingetoa Nauli huenda Zanzibar ingepata Uhuru kabla ya Tanganyika
Ahsanteni
Naona umeritadi,Mbowe huyu uliyekuwa unamuita kafir leo amekuwa kipenzi chako. Hela nyoko sana hapo kula nguruwe tu.Huyu Mbowe akietukanwa na kudhalilishwq na akina Lema? Kama nyinyi hamjui thamani ya Mbowe hadi kumzushia kila uchafu, wengine watajua thamani ya baba yake Mbowe?