wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Afrika ni Moja ya bara ambalo tumeathiliwa zaidi na Tawala za kikoloni kuliko mabara mengne kama Asia mfano China, India n.k
Athari za utawala wa kikoloni Kwa wafrica siyo tu katika tamaduni na uchumi Bali hata katika uwezo wa kufikiri.
Waafrica ktk mindsets zetu Bado hatuamini uwezo tulio nao tofauti na wenzetu kama wachina,Wahindi ambao licha ya kutawaliwa Bado wanaamini wao ni Bora.
Ndio maana sio rahisi Mwafrica kuamini products za ndani katika nchi yake akiamini ni bidhaa duni ukiona amenunua hiyo product ujue Hamna mbadala wa bidhaa kutoka nje.
Wafrica Bado tuna amini wale walio tutawala ndio viumbe bora zaidi ndio maana sio rahisi kujitoa katika utumwa wa kifikra tulio nao tofauti na wenzetu wa mabara mengine ambao tulipita katika shuruba Moja ya kutawaliwa.