Nadhani Nuh Mziwanda ndo kashatoka sasa!

Nadhani Nuh Mziwanda ndo kashatoka sasa!

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Huyu dogo mi nimeanza kumskia muda mrefu sana, na ukweli ni kuwa nimemjua kupitia shilole..Lakini sikuwahi kuujua wimbo wake hata mmoja....
Lakini hii kitu mpya aisee naona inabamba sana yani...Yani kila nnapopita naiskia jike shupa...King Kiba ametisha sana mule....

Nadhani sasa ni rasmi kuwa Nuh Mziwanda ametoka, naye amekuwa katika macelebrity wa hapa Bongo...Japo jina lake sio kubwa sana kama huo wimbo..I dont know why

USHAURI: Dogo komaa sasa, achana na majibizano na mtoto wa Igunga..Uliwahi kuongea point sana kuwa mwanaume hasifiwi kuongea, Lakini naona huyaishi maneno yako...Piga kazi kijana
 
Abadilishe jina, liwe rahisi kutamkika, ataongeza kufahamika zaidi
 
Kachelewa sana, angetoa hii nyimbo awamu ya baba Mwanaasha na yeye angeingia ikulu.
 
Hiyo nyimbo ukiondoa sauti ya kiba, nyimbo hamna, yaani kiba kambeba sana
 
Hiyo nyimbo ukiondoa sauti ya kiba, nyimbo hamna, yaani kiba kambeba sana

Sasa uitoe hiyo sauti uipeleke wapi? Hiyo ndio maana ya featuring, yani unachanganya radha kati ya wasanii kadhaa, unaweza usipende alivyoimba diamond kweny Nana ila ukapenda alivyoimba mr flavour coz wote wana radha tofauti
 
Sijawahi kuona uzuri wa huo wimbo, na huyo dogo bado ana safari ndefu sana tena sana.
 
Sijawahi kuona uzuri wa huo wimbo, na huyo dogo bado ana safari ndefu sana tena sana.
Safar yake bado kabisa yaan mi naona kwenye hiyo nyimbo ametaka kujitetea kuwa alikuwa hatoki kwa sabab ya vipigo vya shishi wakat yeye ndiye aliyelikoroga kwa kumtongoza wema na wema akamrekod na saut ikamfikia soudy brown
 
Back
Top Bottom