geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
Jana mitaaa ya Kinondoni nimekutana na Pauline Zongo akiwa kachoka sana saa 4 asubuhi kalewa chakari na ana mwonekano kama kachoka inasikitisha sana......
Nadhani anahitaji msaada wa hali ya mali.
Soma pia > Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana
Nadhani anahitaji msaada wa hali ya mali.
Soma pia > Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana