GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna Mtu ambaye nilikuwa namuheshimu nchini Kenya kama aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Umoja wa Vyama wa NASA kama Raila Omolo Odinga ila kwa Kitendo chake cha Kipumbavu alichokifanya jana huko nchini Kenya natangaza rasmi kuanzia leo Mimi GENTAMYCINE kumdharau na kumpuuza huku nikimuwashia taa ya Kijani Rais President Elect Uhuru Kenyatta na pia nikiwapongeza Wakenya wote wenye akili na wapenda Maendeleo waliomchagua.
Huku Kwetu Tanzania tuna utaratibu wetu ambao Mtu akikengeuka / akikosea katika maamuzi au matamshi yake basi haraka sana hupelekwa kwa Mkemia Mkuu kupimwa Mkojo / Susu yake ili kujua kama Kichwani mwake zinamtosha au zimemponyoka hivyo nichukue nafasi hii kuwaombeni pia Wakenya kuwa sasa nyie badala ya kumpima Raila Omolo Odinga Mkojo basi nyie nendeni mbele zaidi mkampime Choo chake / Nnya yake / Makimba yake kwani yawezekana ana matatizo makubwa ambayo Vipimo vya Mkemia wenu vinaweza visivione katika Mkojo wake.
Na kama kuna Mkenya yoyote yule ambaye kweli eti leo ameacha kwenda Kazini kuwajibika ili kujiletea Maendeleo yeye, Familia yake na nchi ya Kenya kwa ujumla kwa kutii tu amri ya Mpuuzi / Ngumbaru mmoja tu ambaye mnamuita Baba basi nitawadharau mno Wakenya ambao siyo Siri mnasifika mno kwa kuwa Wapenda Maendeleo hapa Afrika ya Mashariki.
Ewe Raila Omolo Odinga jifunze kuwa na adabu Kenya siyo ya Baba wala Mama yako bali Kenya ni ya Wakenya wote ambao kwa bahati nzuri sana mnamo tarehe 8 August 2017 hawakutaka ujinga / ungumbaru wala upumbavu / upopoma kwa kupoteza muda wao Kukuchagua Wewe Mkorofi na badala yake wamemchagua Mtu ambaye hana Chuki wala Hila / Ngendembwe President Elect Uhuru Kenyatta.
Afrika ya Mashariki hatutaki machafuko bali tunataka sasa mafuriko ya Maendeleo ili na sisi tuweze kushindana na wale waliotuacha muda mrefu na ambao sasa tunawaomba tu misaada kila uchao wakati sisi tuna Rasilimali ambazo kwa Umoja wetu tu tukizitumia vizuri tunaweza kuwa donor countries kwa nchi zote zilizopo duniani.
Najua na nina uhakika tena wa 100% kuwa message sent and delivered.
Nawasilisha.