Nadhani si haki kwa Obama kuonekana hivi!!!

Nadhani si haki kwa Obama kuonekana hivi!!!

Idans

Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
7
Reaction score
0
Hebu waungwana tucomment juu ya picha hizi hapa chini zinazoundwa na hawa wenzetu weupe!! izi it fair?


obama-witchdoctor-muck.jpg




Obama+Witchdoctor+1.jpg
 
Unajua hii ni media ila ingekuwa ni tanzania tungeshakimbizana nao.....na hawa sio kwamba wana mzalilisha obama. Hata bush alichorwa vibaya sana........kama ulishawahi kusikia wimbo wa bushi akiimba na blair na blair walimpotray kama mwanamke......
 
Kuna shida gani hapo?....yeye mwenyewe akiziona (ameona nyingi) atacheka tu!
 
Sijasikia hata mmoja wenu akilalamikia picha za Bush na Osama.
 
wameweka kama dharau au nini? mbona anaonekana kama king wa wasukuma vile huko mwanza? ...
 
Sijasikia hata mmoja wenu akilalamikia picha za Bush na Osama.

Tatizo raia wanamapenzi makubwa sana na Obama inafikia mahala kila analofanyiwa Obama inaonekana ni kwa sababu anaasili ya Kiafrifa.
 
Back
Top Bottom