I Idans Member Joined Oct 28, 2009 Posts 7 Reaction score 0 Nov 13, 2009 #1 Hebu waungwana tucomment juu ya picha hizi hapa chini zinazoundwa na hawa wenzetu weupe!! izi it fair?
Hebu waungwana tucomment juu ya picha hizi hapa chini zinazoundwa na hawa wenzetu weupe!! izi it fair?
A August_Shao Senior Member Joined Nov 23, 2007 Posts 164 Reaction score 48 Nov 13, 2009 #2 Unajua hii ni media ila ingekuwa ni tanzania tungeshakimbizana nao.....na hawa sio kwamba wana mzalilisha obama. Hata bush alichorwa vibaya sana........kama ulishawahi kusikia wimbo wa bushi akiimba na blair na blair walimpotray kama mwanamke......
Unajua hii ni media ila ingekuwa ni tanzania tungeshakimbizana nao.....na hawa sio kwamba wana mzalilisha obama. Hata bush alichorwa vibaya sana........kama ulishawahi kusikia wimbo wa bushi akiimba na blair na blair walimpotray kama mwanamke......
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,690 Nov 13, 2009 #3 Unakumbuka picha za bush na osama
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 Nov 13, 2009 #4 Kuna shida gani hapo?....yeye mwenyewe akiziona (ameona nyingi) atacheka tu!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Nov 13, 2009 #5 Sijasikia hata mmoja wenu akilalamikia picha za Bush na Osama.
Tumain JF-Expert Member Joined Jun 28, 2009 Posts 3,154 Reaction score 71 Nov 13, 2009 #6 wameweka kama dharau au nini? mbona anaonekana kama king wa wasukuma vile huko mwanza? ...
NGULI JF-Expert Member Joined Mar 31, 2008 Posts 4,801 Reaction score 643 Nov 13, 2009 #7 Mbona sioni picha
bm21 JF-Expert Member Joined May 12, 2008 Posts 774 Reaction score 36 Nov 13, 2009 #8 Julius said: Sijasikia hata mmoja wenu akilalamikia picha za Bush na Osama. Click to expand... Tatizo raia wanamapenzi makubwa sana na Obama inafikia mahala kila analofanyiwa Obama inaonekana ni kwa sababu anaasili ya Kiafrifa.
Julius said: Sijasikia hata mmoja wenu akilalamikia picha za Bush na Osama. Click to expand... Tatizo raia wanamapenzi makubwa sana na Obama inafikia mahala kila analofanyiwa Obama inaonekana ni kwa sababu anaasili ya Kiafrifa.