Mcheki kaka Mshana Jr umnyooshe mbaya wakoShikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.
Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini
Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Dah nimecheka knomaNipishe huko weee kilema
mwanamke wife material hajitangazi mtaani,ukiona mwanamke amejiunga jf jua huyo ana sifa moja wapo kati ya malaya,msomi mwajiriwa.Kwanini unasema ni Malaya?
aah kumbe tunabishana ujinga ๐๐๐Wewe Una nini wanaume wote nilionao sidhani kama yupo ambaye anaweza kuwa bize mtandaoni akibishana ujinga
usiseme unadhani, sema sijapendezwa kabisa ! kuna thread mtu ameandika anatafta mke tena single mother jamaa mmoja anaandika mtafute Marry D.Shikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.
Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini
Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
Hahahaaaa ! kwel " where we dare to talk openly " imekuwa tooo too much !Dada Marry, yule aliekuanzishia uzi ni huyu ELI COHEN ***** bwabwa humu tunamjua
Usipoteze muda na machoko haya yanajua kuchambana kushinda wanawake, huwa wanajianziashiaga vi mada vyao na kukutana humo wakiwa wanacheza vigodoro
Nimetoka bana.umeanza ukorofi umeshatoka kifungoni ๐ฅฑ๐
Merry D, Merry Dikompoza mwenyewe..!! ๐น๐นOooh dadaakeee, Mimi nipo ๐๐
Wewe ni mjingaUnaonekana bado wewe ni mtoto sana au bado una utoto sana. Yaani kuambiwa hayo ndio uje kumshtakia jf. Sasa kumshtakia na kumpotezea kipi bora. Marry Diana ilikuwa utumie japo akili ya kuzaliwa kwa kumtumia ujumbe mkayamaliza wenyewe coz ni kama mnafahamiana. Au ulikua umblock au kum ignore. Je kama n x wako achambwe humu afu mje mrudiane nani ataonekana mjinga na mnavorudiana na kupost misemo yenu. Mda mwingne jaribu kujua na kufaham kuwa tusi haliui bali linakujenga. Mfano labda ashakutumia nauli na ya kutolea na wewe ukawa zuchu kuwa huendi kwa nin asikufungulie uzi? Jifunze kunyamaza au kama huwez kunyamaza tembea na maji ya kunywa mda wote na utanishukuru baadae. (usiulize maji ni ya nin)
Servers ni za Melo siyo za Baba yakoKama unajua yasemwayo kuhusu ni uongo mtupu kwanini usipotezee tu kukaa kimya kuliko kuja humu kujaza servers za Melo bure
NipoooMerry D, Merry Dikompoza mwenyewe..!! ๐น๐น
Pole,ama kuhusu maisha yako bunafsi,jipange vizuri sana na uamua mambi yafuatayo:Shikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.
Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini
Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
AsantePole,ama kuhusu maisha yako bunafsi,jipange vizuri sana na uamua mambi yafuatayo:
1.Nini malengo yako hapa duniani
2.Ukishayajua malengo yako,panga mkakati wa kuyafikia malengo hayo,ambayo yapange kwa awamu.
3.Weka vipimo vya kuyatambua malengo hayo
4.Andaa hadhari au hatari zinazoweza kukuharibia malengo hayo na mbinu za kuzikabili hatari hizo
Mwisho,unapokuwa ndani unafanya shughuli zako,nje zipo kelele nyingi,sasa uamuzi uko kwako,kuendelea na shughuli zako au kupoteza muda wako kusikiliza hizo kelele za nje
Hao wanaume ni wangapi?wanaume wote nilionanao