Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Shikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.
Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini
Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiTuambie kwanza ulimpeleka wapi tajiri wa kusi
Simjui huyoUtuambie kwanza ulimpeleka wapi tajiri wa kusini
Haya kipenziSimjui huyo
ndio zenu, hata siwezi kukuchukia au nikukasirikie ila jaribu mambo mengne ustake kuonyesha watu upande wako wa pili kwa mambo yasiyo na maanaWewe ni mjinga
Huyo anapitia stress za kutokuolewaKumekuchaa! Ngoja konyagi zinishke vizur nije na ujinga wangu sasa. Aliyeniita ujinga huu uzi autoroke au anigawie akili zake
Marry Diana anasemaje?Hii hautaimaliza mwenyewe ngoja nikuitie secretarybird msaidizane
kumbee. Sasa alivokuwa anapga umalaya wake mbona hakutuambia tumshauri pakwenda leo anakuja na story za na nadhani sio vizuri. Afunguke iwe rahisi kumsaidia na sio story za KUDHANIAHuyo anapitia stress za kutokuolewa
Hakunaga mwanamke single aliye timamukumbee. Sasa alivokuwa anapga umalaya wake mbona hakutuambia tumshauri pakwenda leo anakuja na story za na nadhani sio vizuri. Afunguke iwe rahisi kumsaidia na sio story za KUDHANIA
mzee baba unasema kweli?Hakunaga mwanamke single aliye timamu
Huyo anapitia stress za kutokuolewana
Wewe ni mjinga,na Malaya mama yako aliyepanua miguu Kwa Baba yako ,sasa ungezaliwa vipi,Mimi na mama yako wote ni malayaakumbee. Sasa alivokuwa anapga umalaya wake mbona hakutuambia tumshauri pakwenda leo anakuja na story za na nadhani sio vizuri. Afunguke iwe rahisi kumsaidia na sio story za KUDHANIA
Huyu hawezi pata mmeWewe ni mjinga,na Malaya mama yako aliyepanua miguu Kwa Baba yako ,sasa ungezaliwa vipi,Mimi na mama yako wote ni malayaa
tabia yako nimegundua kila mwana jf anakujua na kwa taarifa yako kumbe sio mim wa kwanza kukusema hapa, kuna uzi mwingne mtu kakutaja kule ngoja nirud nikutag uusome pumbavu. Ndo utoe matus sawa sawa.Wewe ni mjinga,na Malaya mama yako aliyepanua miguu Kwa Baba yako ,sasa ungezaliwa vipi,Mimi na mama yako wote ni malayaa
Kaka achana naye huyo hajui anachokipambania kwenye maishatabia yako nimegundua kila mwana jf anakujua na kwa taarifa yako kumbe sio mim wa kwanza kukusema hapa, kuna uzi mwingne mtu kakutaja kule ngoja nirud nikutag uusome pumbavu. Ndo utoe matus sawa sawa.
poa bro ila huyu dem ana shobo kweli kweli kumbe wanamjua humu nimemtag asome huo uzi aliotajwaKaka achana naye huyo hajui anachokipambania kwenye maisha
Hawezi olewa huyo inaonekana kipindi yupo kwenye form alikuwa anaringa sana nyakati za lala salama ndo kaanza kutapatapapoa bro ila huyu dem ana shobo kweli kweli kumbe wanamjua humu nimemtag asome huo uzi aliotajwa
Wanawake wa type hii anawaponda sana mkuu Natafuta ajirapoa bro ila huyu dem ana shobo kweli kweli kumbe wanamjua humu nimemtag asome huo uzi aliotajwa