Nadhani sijachelewa kuomba ukaribisho

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,188
Reaction score
2,113
assalamu alaykum!

Ni muda sasa nimekuwa na rafiki yangu XX amekuwa akinishawishi nijiunge JF, eti anasema kuna watu wana busara sana, wana hekima sana na michango yao ni hazina kwa JF. Mimi kama memba mpya naomba nitambulishwa kwao ili niweze kupata hizo busara.

Nawasilisha
 
Hapo juu sielewi maana yake..

Ila haya ya kiswahili nimeelewa.
Karibu sana.
Wenye hekima tupo.
Kwa kutaka kwako kutujua hiyo ni nia njema kabisa.
Tangu sasa
Nakupa jina la Mkuu, huku JF utaitwa Mkuu.

Karibu.

Bado Naendelea Kujifunza
 
Hapo juu sielewi maana yake..

Ila haya ya kiswahili nimeelewa.
Karibu sana.
Wenye hekima tupo.
Kwa kutaka kwako kutujua hiyo ni nia njema kabisa.
Tangu sasa
Nakupa jina la Mkuu, huku JF utaitwa Mkuu.

Karibu.

Bado Naendelea Kujifunza
Asante sana, Mkuu maana yake nini?
 
Asante kwa kuja na ID mupya....
 
Unatakiwa uwe na uwezo mkubwa sana wa kuchuja mambo maana siku hizi kuna vitoto vingi sana humu, mawazo yao yanapoteza uelekeo kabisa, karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…