Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Aug 29, 2023 #1 Tulisha ambiwa tupige picha mapema msimamo wa ligi kabla mambo hayajabadilika Sasa mambo yashaharibika Kama hukupiga basi subiri msimu wa 2024/2025 Kwa Wanayanga haina haja kabisa.
Tulisha ambiwa tupige picha mapema msimamo wa ligi kabla mambo hayajabadilika Sasa mambo yashaharibika Kama hukupiga basi subiri msimu wa 2024/2025 Kwa Wanayanga haina haja kabisa.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Aug 29, 2023 #2 Em niende kwanza kwenye ule Uzi wa Mhasibu nikazidishe uchungu.
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,280 Reaction score 7,930 Aug 29, 2023 #3 Daaah mm nilisahau aisee , basi tena ngoja nisubir mwakani
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Aug 29, 2023 #4 Tumepiga