Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi, wamebaki kujipendekeza kusiko na faida kwa maisha yetu.
Mastaa Wengi wamegeuka kuwa mashine za kuwapamba Wanasiasa! Kwa nyimbo na mapambio huko Dodoma.
Sisi ndio tunaunda taifa kwasasa, lakini hatuwezi kuendelea hivi. Tupate 'Kanuni ya kudhibiti Uchawa' mapema kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba!
Soma, Pia