Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Yaani nipo maeneo ya Tabata ukipita KB kuna car wash huku kila napokuja mtandao hausomi 4G. Unasoma 3G na sometime Edge kabisa. Inashangaza sana kwa Mtandao mkubwa kama huu.
Nimewahi kutana na kadhia hii pia maeneo flani ya Banana. Tigo unakuta inasoma 4G but airtel 3G.
Je ni kwamba wameshachoka? Shida nini? Wakati watu wanafikiria 5G wao wanasua sua na 4G kweli?