Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nimewakimbia Airtel kitambo speed ya kobeYaani nipo maeneo ya tabata ukipita KB kuna car wash huku kila napokuja mtandao hausomi 4G. Unasoma 3G na sometime Edge kabisa. Inashangaza sana kwa Mtandao mkubwa kama huu.
Nimewahi kutana na kadhia hii pia maeneo flani ya banana. Tigo unakuta inasoma 4G but airtel 3G.
Je ni kwamba wameshachoka? Shida nini? Wakati watu wanafikiria 5G wao wanasua sua na 4G kweli?
Hama huko madongo kuinuka la sivyo utaendelea kuulaumu mtandao wakati umeamua mwenyewe kuishi maporini huko Bonyokwa.Nimewakimbia Airtel kitambo speed ya kobe
USSR
Usiombe kwa znz tulishasahau kama 3g,4g na the likes huku usijaribu kununua mb za airtel au voda, ni mwendo wa E tena wakati mwingine smart phone zinagoma kabisa kukamata net, ukiwapigia airtel wanaishia kukuuliza unatumia simu gani, ukiwambia samsung utasikia ndo maana, siku ingine ukipiga ukiwaambia iPhone utasikia ndio maana, techno ndo maanaYaani nipo maeneo ya Tabata ukipita KB kuna car wash huku kila napokuja mtandao hausomi 4G. Unasoma 3G na sometime Edge kabisa. Inashangaza sana kwa Mtandao mkubwa kama huu.
Nimewahi kutana na kadhia hii pia maeneo flani ya Banana. Tigo unakuta inasoma 4G but airtel 3G.
Je ni kwamba wameshachoka? Shida nini? Wakati watu wanafikiria 5G wao wanasua sua na 4G kweli?
Waliwahi niuliza swali hili la kipumbavu nikawaambia simu yangu haiwahusu.Usiombe kwa znz tulishasahau kama 3g,4g na the likes huku usijaribu kununua mb za airtel au voda, ni mwendo wa E tena wakati mwingine smart phone zinagoma kabisa kukamata net, ukiwapigia airtel wanaishia kukuuliza unatumia simu gani, ukiwambia samsung utasikia ndo maana, siku ingine ukipiga ukiwaambia iPhone utasikia ndio maana, techno ndo maana
Tembea na mnara wakoYaani nipo maeneo ya Tabata ukipita KB kuna car wash huku kila napokuja mtandao hausomi 4G. Unasoma 3G na sometime Edge kabisa. Inashangaza sana kwa Mtandao mkubwa kama huu.
Nimewahi kutana na kadhia hii pia maeneo flani ya Banana. Tigo unakuta inasoma 4G but airtel 3G.
Je ni kwamba wameshachoka? Shida nini? Wakati watu wanafikiria 5G wao wanasua sua na 4G kweli?