mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
wamejitahidi kwa kupata angalau kamoja, ile kulenga kwenye tunduMuda wa Yanga kukodishwa Kwa Manji umefika.Yanga mpira ni sayansi sio maneno Na magazeti.Tp Mazembe ni timu kubwa duniani yanga haifanani nayo .Wanachama wa yanga acheni kusema sana hatimaye mmekula bao 3 Kwa 1
Kwanza ingekua safi kama tukirudi tunakutana nao hao topeni fcKama utafuata magazeti basi mwaka huu wamatopeni watatwaa ubingwa wa VPL. Mwisho wa msimu reality itakuwa nyingine! Simba sasa inacheza mpira kwenye media.
Sijakuelewa: Nini kilichokujulisha kuwa muda huo umefika, na unahusianaje na sayansi vs. magazeti? Kwani hapo mwanzo TP Mazembe haikuwa timu kubwa mpaka baada ya kuifunga Yanga 3 -1? Isisyofanana na Mazembe ni Yanga waliopangwa kundi moja nayo au hiyo unayoishabikia ambayo hata karibu ya huko haikufika? Kuamini Sayansi kunahusu kutoandikwa magazetini unapofanya vizuri au hata jinsi ya kuwasilisha mada yenye mashiko mitandaoni?Muda wa Yanga kukodishwa Kwa Manji umefika.Yanga mpira ni sayansi sio maneno Na magazeti.Tp Mazembe ni timu kubwa duniani yanga haifanani nayo .Wanachama wa yanga acheni kusema sana hatimaye mmekula bao 3 Kwa 1
Shiza kichuraaaaaaaaaaaaa,ananesanesa kule pembeni mwa uwanja anapeleka kwake Mazugoo mazugo anazuga sasa,anampa pale Ibrahim Hanajibu sasa ni mwenyenjaa huyu kutoka zimbabwe anarudisha kwa golikipa wake Ananibana mara oooh,hatari kule Donald Ngoma sijui katokea wapi ananasa mpiraa ule ooooh ni goli wasikilizaji,wakimataifa wanafanya yao hapa uwanja wa kimataifaa.kweli simba hawastahili kucheza uwanja wa kimataifa,mechi inayofuata simba atacheza uwanja wa shamba la bibi ili kumpunguzia majangaaa.hebu Dj tuwekee wimbo wa sinura hapo wa msimbaz majangaa,majangaaaaYanga Kwa kutokujua kwenu mliidharau sana TP mazembe mpaka ilipowabamiza ndio mmejua kuwa in timu kubwa