Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
Nadhani amachukuliwa Hatua sitahiki. Pengine atajifunza kujenga hoja kwa Ustadi bila Matusi na Dharau zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani amachukuliwa Hatua sitahiki. Pengine atajifunza kujenga hoja kwa Ustadi bila Matusi na Dharau zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona, tunafananishwa mpaka na burundi sasa.Mfanyabiashara wa fedha za kigeni nchini Burundi alitekwa siku mbili zilizopita na maiti yake kuokotwa jana kwenye viunga vya jiji la Bujumbura
Serikali ya nchi hiyo inasema vipimo vinaonesha kafa kwa Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mheshimiwa si ukavunje gereza umtoe mbona unanitolea povu Mimi nisiyeweza kumnusuru wala kumuangamiza. Nachosema kama tabahatika kutoka mwambie aache hizo tabia zake mbovu, washindwe kumbambikia mtu ambaye ana impact wambabikie yeye ili wapate nini sasaPumbav kweli kweli wewe, Zombe alipoua wale wafanya biashara wa Madini pale Sinza-ukuta wa Posta si mlisema hivi hivi na mkapiga makofi kwamba kaua majambazi kumbe yeye na maaskari wenzake ndio walikuwa majambazi?
Shwain/swine kabisa wewe, hiyo kosa la kubambikizia unasema ashauriwe?
Mshauri Kigwangala na wabunge wa ccm warudishe mali walizoiba na nyumba za serikali walizouza
Nakubaliana na wewe mkuuNi vipi wasimshtaki kwa kosa lake kama alivyokuwa anaandika na sio hili ambalo kuna dalili za kutengenezwa? kweli hana adabu ktk jamii na anastahili kurekebishwa lakini sio kama inavyokuja
Kwahiyo wewe ikiwa umeiba hukumu yako ni kuuliwa?Okay sawa umeandikia ulichokiandika. Sasa unachukua hatua gani?
Yule mpuuzi hata kama hajafanya kosa hilo lakini alichokua anakifanya katika mitandao kilikua kinahatarisha sana Amani ya nchi yetu.
Soma vizuri, alikamatwa na grams, sio kilograms. Kama ungekuwa ni hali ya kawaida kama ni kweli alikutwa nazo, lingekuwa ni utumiaji wa dawa. Lakini kwa mazingira ya awali, tayari ni uhujumu.Mimi nachojiuliza masikini kama yule kilo 23 za heroine ni mamilioninya shilingi.Angeshaporomosha hata mnjengo wa maana hapo Vwawa.Lakini alikuwa mtu wa kawaida tu.Angeficha hela benki zingeonekana.Au anaficha chini hizo pesa kwenye mahandaki? Mungu ampe wepesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza yote mkuu amri tokaHuyo kakamatwa kwa amri kutoka Chato
Na mimi nakujibu kwa Nadharia!!
Nadharia yako 2:
Kutokutumia bidhaa haimaanishi huwezi kuuza bidhaa hiyo. Morocco ni wauzaji wakubwa wa mvinyo pombe lakini hawanywi. Mdude kinadharia alikuwa anauza kama wauza wengine.
Nadharia yako 3
kinadharia waliomkamata walitumia muda mwingi kabla ya kumpeleka mahakamani lengo wahakikishe wanajua mtandao ambao alikuwa anatengeneza wa 'hiyo biashara haramu '.Kazi hiyo kinadharia haiwezi kufanywa siku moja ama masaa michache.
Nadharia yako 4:
Kinadharia unatuaminisha kuwa 'kisiki2014' ambaye alitoa taarifa naye anahusika katika mchezo huu! Kwamba kinadharia ndiye alimuandalia honeytrap na kumuunganisha kwa madrugs lords!?
=====
Acheni vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake kwa usahihi. Acha kuvuruga uchunguzi kwa makusudi mleta mada.
Mfanyabiashara wa fedha za kigeni nchini Burundi alitekwa siku mbili zilizopita na maiti yake kuokotwa jana kwenye viunga vya jiji la Bujumbura
Serikali ya nchi hiyo inasema vipimo vinaonesha kafa kwa Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinahatarisha usalama wa CCM sio nchiOkay sawa umeandikia ulichokiandika. Sasa unachukua hatua gani?
Yule mpuuzi hata kama hajafanya kosa hilo lakini alichokua anakifanya katika mitandao kilikua kinahatarisha sana Amani ya nchi yetu.
hakuna kwa asilimia kubwa duniani aliyewahi kua mwanahalakatiwa hizo mambo akaishi kwa amaniMleta uzi nimekuelewa sana
Mambo yafuatayo yanaweza yakapelekea mtu ukaingia kwenye misukosuko na serikali
1. Kukosoa bila staha, unaweka mitusi humo, kejeli humo, uongo humo, huwezi vumilika
2. Unaposhauri upumbavu. kutwa wewe unashauri mambo ambayo kwa mjinga anaweza kuona unaongea points, lakini kumbe ni ushauri uliojaa hila na nia ovu
3. Kuchunguza siri za serikali, unajua kuna kipengele viongozi wa umma huwa wanaapa kuwa hawatatoa siri za serikali, maana yake watafanya juu chini siri isitoke, sasa unapobainika kuchunguza kwa nia ya kutoa siri za serikali, iwe kwenye gazeti, tv, redioni, mtandaoni na kwa mtu fulani unajitafutia tabu nzito nzito
Wanaharakati wa mtandaoni wote, asilimia kubwa wanapokosoa wanadondokea kwenye kipengele namba moja, wasipo badilika wataisha, hawawezi bora wachague kuwa invisible kama kigogo. Ila wanapochagua kuikosoa serikali na kupata popularity, wataisha aisee.