Watu wengi wakisikia kuhusu big bang, wanadhani ni mlipuko mkubwa ulitokea, SIVYO.
Big bang, inaeleza kuwa dunia ilikuwa ndogo sana enzi hizo na kulikuwa na baridi, but kadri mda ulivyo kwenda joto liliongezeka, hivyo kusababisha itanuke na ijicompress (expansion and compresion)
Sio hivyo tu pia kuna force ziitwazo SINGULARITY ambazo ziko beyond the understanding of physics.