WanaJF,
Mahakama ilishatoa hukumu kuwa serikali iandae mazingira yatakayowesha wagombea huru kushiriki katika chaguzi zetu. Sasa tunajindaa kuingia kwenye chaguzi zetu huku serikali ikionyesha dhahiri kuwa haina nia ya kuruhusu mgombea huru.
Katika mazingira haya serikali yetu inamtumikia nani? na inatupeleka wapi? kama ushauri wa Bunge unapuuzwa na Mahakama zetu sinadhihakiwa!