Nadharia ya vikundi virai

Nadharia ya vikundi virai

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
540
Naomba mashiko ju ya udhaifu wa nadharia ya vikundi virai kwamba ilikua ya kinadharia zaidi kuliko ilivyotakiwa kua.
1. Kwa nini ilikua ya kinadharia?
2. Ilitakiwa iweje?
 
ilikuwa dhaifu kwa mujibu wa mwanazuoni gani, na huyo aliyeusema huo udhaifu alitoa critique gani? na maoni yako ni yepi kabla sijaanza kumwaga utaalam wangu!
 
mbona sielewi inamaana kiswahili ni kigumu kiasi hicho? Ebu mwaga madesa.
 
ilikuwa dhaifu kwa mujibu wa mwanazuoni gani, na huyo aliyeusema huo udhaifu alitoa critique gani? na maoni yako ni yepi kabla sijaanza kumwaga utaalam wangu!

swali ju ya swali cshangai ndo kawaida ya waswahili. Jibu swali km huna mashiko tambaa.
 
Back
Top Bottom