Ubuntu trusty tahr
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 326
- 227
Bwana mmoja aliwahi kuniambia kuwa
‘Wale watu weupe , walileta viwanda vya sinema za ngono ili jamii ijifunze dhana ya mapenzi kwa upana’ ,
Sikutaka kukubaliana naye , niki dhani kuwa
‘walileta hivyo viwanda ili kuiharibu jamii kisaikolojia katika muktadha wa mapenzi ili wapige pesa kwamba’
🌑Wapo baadhi ya watu watakuwa na tamaa ya kutaka kuwa na uwezo wa ku perform kama kwenye hizo sinema , kisha wata kimbilia kununua madawa ya kuongeza nguvu
🌑Wapo baadhi ya watu wata amini kuwa performance nzuri inatokana na ukubwa wa maumbile kisha wata kimbilia kununua dawa za kuongeza ukubwa wa maumbile yao
Kimsingi dhamira haswa ya kuwepo kwa sinema za ngono ni mradi / project ya watu wenye lengo la kupiga pesa ndefu kupitia jamii.