yalekegraphix
Member
- May 11, 2016
- 89
- 270
Ahsante sanaNice
Ameandika 50kKiasi gani unafanya? Nahitaji logo ya Biashara yangu
Asante sanaAmeandika 50k
Thanks Boss..karibu sana tufanye kazUpo vizuri utanidesignia logo za makampuni yangu
ThanksGood
Yes, balance shaka mkuu..... tunaendelea kufanya kaz kama kawaida japonica kuna AIKazi nzuri, si kwa ubaya mkuu lakini inabidi kwa namna fulani tujiongeze kuna kazi zinakuja kukosa nguvu kwa ujio wa ai mfano hapa, ndani ya dk 3, nimeweza kutengeneza hizi, je huyu mtu atakubali kutoa 50 elfu yake wakati ai inamfanyia bure na kwa haraka?
Natumia neno sizonje, kisha msemk wa "UMOJA WETU NDIO NGUVU YETU"