nadumu 60 za asali nauza 90 elfu kwa lita 20

nadumu 60 za asali nauza 90 elfu kwa lita 20

Asali iko wapi kwasasa? ni muhimu kujua gharama za usafiri kutoka ilipo. na haijachakachuliwa?
 
hii ni asali toka tabora kama unaitaji ni pm tuzungumze


kila jema liwe juu yako, upo Tabora nini?

Una jumla ya lita 60 x 20 =1200 Ltrs, kila lita 20 (plastiki moja yenye ujazo wa lt 20) unaiuza Tsh 90,000.

kwa maana nyingine unamapipa/madram 6 ya asali unanikumbusha mbali sana ndugu yangu,
 
Kuna wachina wana kiwanda cha asali hapo pwani unaweza kuwatafuta wanunue
 
hii ni asali toka tabora kama unaitaji ni pm tuzungumze
Asali gani,
  1. Ya nyuki wakubwa?.
  2. Ya nyuki Wadogo?.

Jee in a hali gani?!
  1. Imechujwa?.
  2. Iko kwenye masega?.
Jee Ina Hali gani?!.
  1. Asali mbichi?
  2. Mmechemshwa?!.
Na mwisho imetokana na nini?.

Pasco.
 
Back
Top Bottom